Isaya 11

Tawi Kutoka Kwa Yese 1 Chipukizi litatokea kutoka katika shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 2 Roho waBwanaatakaa juu yake, Roho wa hekima na wa ufahamu, Roho wa shauri na uweza, Roho wa maarifa na wa kumchaBwana 3 naye atafurahia kumchaBwana. Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, wala kuamua kwa yale […]

Isaya 12

Kushukuru Na Kusifu 1 Katika siku ile utasema: “Nitakusifu wewe, EeBwana. Ingawa ulinikasirikia, hasira yako imegeukia mbali nawe umenifariji. 2 Hakika Mungu ni wokovu wangu; nitamtumaini wala sitaogopa. Bwana,Bwana, ni nguvu zangu na wimbo wangu; amekuwa wokovu wangu.” 3 Kwa furaha mtachota maji kutoka katika visima vya wokovu. 4 Katika siku hiyo mtasema: “MshukuruniBwana, mliitie […]

Isaya 13

Unabii Dhidi Ya Babeli 1 Neno kuhusu Babeli ambalo Isaya mwana wa Amozi aliliona: 2 Twekeni bendera juu ya mlima usio na kitu, wapazieni sauti, wapungieni mkono waingie katika malango ya wenye heshima. 3 Nimewaamuru watakatifu wangu; nimewaita mashujaa wangu waitimize hasira yangu: wale wanaoshangilia ushindi wangu. 4 Sikilizeni kelele juu ya milima, kama ile […]

Isaya 14

Yuda Kufanywa Upya 1 Bwanaatamhurumia Yakobo, kwa mara nyingine tena atamchagua Israeli na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. Wageni wataungana nao na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 2 Mataifa watawachukua na kuwaleta mahali pao wenyewe. Nayo nyumba ya Israeli itamiliki mataifa kama watumishi wa kiume na watumishi wa kike katika nchi yaBwana. Watawafanya watekaji wao […]

Isaya 15

Unabii Dhidi Ya Moabu 1 Neno kuhusu Moabu: Ari iliyo katika Moabu imeangamizwa: imeharibiwa kwa usiku mmoja! Kiri iliyo katika Moabu imeangamizwa, imeharibiwa kwa usiku mmoja! 2 Diboni anakwea hadi kwenye Hekalu lake, mpaka mahali pake pa juu pa kuabudia miungu ili walie, Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. Kila kichwa kimenyolewa na kila ndevu zimeondolewa. […]

Isaya 16

Hali Ya Kukata Tamaa Ya Moabu 1 Pelekeni wana-kondoo kama ushuru kwa mtawala wa nchi, Kutoka Sela, kupitia jangwani, hadi mlima wa Binti Sayuni. 2 Kama ndege wanaopapatika waliofukuzwa kutoka kwenye kiota chao, ndivyo walivyo wanawake wa Moabu kwenye vivuko vya Arnoni. 3 “Tupeni shauri, toeni uamuzi. Wakati wa adhuhuri, fanyeni kivuli chenu kama usiku. […]

Isaya 17

Neno Dhidi Ya Dameski 1 Neno kuhusu Dameski: “Tazama, Dameski haitakuwa tena mji bali itakuwa lundo la magofu. 2 Miji ya Aroeri itaachwa na itaachiwa makundi ya kondoo na mbuzi, ambayo yatalala huko, bila ye yote wa kuyaogopesha. 3 Mji wenye ngome utatoweka kutoka Efraimu, nao uweza wa kifalme kutoka Dameski; mabaki ya Aramu yatakuwa […]

Isaya 18

Unabii Dhidi Ya Kushi 1 Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, kwenye mito ya Kushi, 2 iwapelekayo wajumbe wake kwa njia ya bahari # kwa mashua za mafunjojuu ya maji. Nendeni, wajumbe wepesi, kwa taifa la watu warefu wenye ngozi nyororo, kwa taifa linaloogopwa mbali na karibu, taifa gomvi lenye lugha ngeni, ambalo nchi […]

Isaya 19

Unabii Kuhusu Misri 1 Neno kuhusu Misri: Tazama,Bwanaamepanda juu ya wingu liendalo kwa haraka naye anakuja Misri. Sanamu za Misri zinatetemeka mbele yake, nayo mioyo ya Wamisri inayeyuka ndani yao. 2 “Nitamchochea Mmisri dhidi ya Mmisri, ndugu atapigana dhidi ya ndugu, jirani dhidi ya jirani, mji dhidi ya mji, ufalme dhidi ya ufalme. 3 Wamisri […]

Isaya 20

Unabii Dhidi Ya Misri Na Kushi 1 Katika mwaka ule ambao jemadari mkuu, alitumwa na Mfalme Sargoni wa Ashuru, naye akaja mpaka Ashdodi akaushambulia na kuuteka, 2 wakati uleBwanaalisema kwa kinywa cha Isaya mwana wa Amozi. Akamwambia, “Vua nguo ya gunia kutoka mwilini mwako na viatu kutoka miguuni mwako.” Naye akafanya hivyo akatembea huko na […]