Zaburi 21

Shukrani kwa Mungu Kwa Ajili Ya Ushindi (Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) 1 EeBwana, mfalme huzifurahia nguvu zako. Tazama jinsi ilivyo kuu furaha yake kwa ushindi unaompa! 2 Umempa haja ya moyo wake na hukumzuilia maombi ya midomo yake. 3 Ulimkaribisha kwa baraka tele na kumvika taji ya dhahabu safi kichwani pake. 4 Alikuomba maisha, […]

Zaburi 22

Kilio Cha Uchungu Na Wimbo Wa Sifa (Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Utenzi Wa Kulungu Wa Alfajiri) 1 Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 2 Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi. 3 Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi […]

Zaburi 23

Bwana Mchungaji Wetu (Zaburi Ya Daudi) 1 Bwanandiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu. 2 Hunilaza katika malisho ya majani mabichi, kando ya maji matulivu huniongoza, 3 huifanya upya nafsi yangu. Huniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake. 4 Hata kama nikipita katikati ya bonde la uvuli wa mauti, sitaogopa mabaya, kwa maana […]

Zaburi 24

Mfalme Mkuu (Zaburi Ya Daudi) 1 Dunia ni mali yaBwana, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake, ulimwengu na wote waishio ndani yake, 2 maana aliiwekea misingi yake baharini na kuifanya imara juu ya maji. 3 Nani awezaye kuupanda mlima waBwana? Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? 4 Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, […]

Zaburi 25

Kumwomba Mungu Uongozi Na Ulinzi (Zaburi Ya Daudi) 1 Kwako wewe, EeBwana, nainua nafsi yangu, 2 ni wewe ninayekutumainia, Ee Mungu wangu. Usiniache niaibike, wala usiache adui zangu wakanishinda. 3 Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea atakayeaibishwa, bali wataaibishwa wafanyao hila bila sababu. 4 Nionyeshe njia zako, EeBwana, nifundishe mapito yako, 5 niongoze katika kweli yako […]

Zaburi 26

Maombi Ya Mtu Mwema (Zaburi Ya Daudi) 1 EeBwana, unithibitishe katika haki, maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; nimetumainiaBwana bila kusitasita. 2 EeBwana, unijaribu, unipime, uuchunguze moyo wangu na mawazo yangu; 3 kwa maana upendo wako uko mbele yangu daima, nami natembea siku zote katika kweli yako. 4 Siketi pamoja na watu wadanganyifu, wala siandamani […]

Zaburi 27

Sala Ya Kusifu (Zaburi Ya Daudi) 1 Bwanani nuru yangu na wokovu wangu, nimwogope nani? Bwanani ngome ya uzima wangu, nimhofu nani? 2 Waovu watakaposogea dhidi yangu ili waile nyama yangu, adui zangu na watesi wangu watakaponishambulia, watajikwaa na kuanguka. 3 Hata jeshi linizunguke pande zote, moyo wangu hautaogopa; hata vita vitokee dhidi yangu, hata […]

Zaburi 28

Kuomba Msaada (Zaburi Ya Daudi) 1 Ninakuita wewe, EeBwana, Mwamba wangu; usiwe kwangu kama kiziwi. Kwa sababu ukinyamaza nitafanana na hao waliokwisha shuka shimoni. 2 Sikia kilio changu unihurumie ninapokuita kwa ajili ya msaada, niinuapo mikono yangu kuelekea Patakatifu pa Patakatifu pako. 3 Usiniburute pamoja na waovu, pamoja na hao watendao mabaya, ambao huzungumza na […]

Zaburi 29

Sauti Ya Bwana Wakati Wa Dhoruba (Zaburi Ya Daudi) 1 MpeniBwanaEnyi mashujaa, mpeniBwanautukufu na nguvu. 2 MpeniBwanautukufu unaostahili jina lake; mwabuduniBwanakatika uzuri wa utakatifu wake. 3 Sauti yaBwanaiko juu ya maji; Mungu wa utukufu hupiga radi, Bwanahupiga radi juu ya maji makuu. 4 Sauti yaBwanaina nguvu; sauti yaBwanani tukufu. 5 Sauti yaBwanahuvunja mierezi; Bwanahuvunja vipande […]

Zaburi 30

Maombi Ya Shukrani Utenzi Wa Kuweka Wakfu Hekalu (Zaburi Ya Daudi) 1 Nitakutukuza wewe, EeBwana, kwa kuwa umeniinua na hukuacha adui zangu washangilie juu yangu. 2 EeBwana, Mungu wangu, nilikuita unisaidie na wewe umeniponya. 3 EeBwana, umenitoa Kuzimu, umeniokoa nisishuke kwenye shimo la mauti. 4 MwimbieniBwana, enyi watakatifu wake; lisifuni jina lake takatifu, kwa kumbukumbu […]