Zaburi 11

Kumtumaini Bwana (Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) 1 KwaBwananinakimbilia, unawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege kwenye mlima wako. 2 Hebu tazama, waovu wanapinda pinde zao, huweka mishale kwenye uzi wake, wakiwa gizani ili kuwapiga wanyofu wa moyo. 3 Wakati misingi imeharibiwa, mwenye haki anaweza kufanya nini?” 4 Bwanayuko ndani ya Hekalu lake takatifu; Bwanayuko kwenye […]

Zaburi 12

Kuomba Msaada (Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Sheminithi: Zaburi Ya Daudi) 1 Bwanatusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka; waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu. 2 Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 3 Bwanana akatilie mbali midomo yote ya hila na kila ulimi uliojaa majivuno 4 ule unaosema, “Kwa ndimi zetu […]

Zaburi 13

Sala Ya Kuomba Msaada (Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) 1 Mpaka lini, EeBwana? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini? 2 Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda mpaka lini? 3 Nitazame unijibu, EeBwanaMungu wangu. Uyatie nuru macho yangu, ama sivyo nitalala usingizi wa […]

Zaburi 14

Uovu Wa Wanadamu (Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Mahalathi. Zaburi Ya Daudi) 1 Mpumbavu anasema moyoni mwake, “Hakuna Mungu.” Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; hakuna atendaye mema. 2 Toka mbinguniBwanaanawachungulia wanadamu chini aone kama wako wenye akili, wo wote wanaomtafuta Mungu. 3 Wote wamepotoka, wameoza wote pamoja; hakuna atendaye mema, naam! Hata mmoja. 4 Je, […]

Zaburi 15

Kitu Mungu Anachotaka (Zaburi Ya Daudi) 1 Bwana, ni nani awezaye kukaa katika Hekalu lako? Nani awezaye kuishi katika mlima wako mtakatifu? 2 Ni yule aendaye pasipo mawaa, anayetenda yaliyo haki, asemaye kweli toka moyoni mwake 3 na hana masingizio ulimini mwake, asiyemtenda jirani yake vibaya na asiyemsingizia mwenzake, 4 ambaye humdharau mtu mbaya sana, […]

Zaburi 16

Sala ya Matumaini (Utenzi wa Daudi) 1 Ee Mungu, uniweke salama, kwa maana kwako nimekimbilia. 2 NilimwambiaBwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; pasipo wewe sina jambo jema.” 3 Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. 4 Huzuni itaongezeka kwa wale wanaokimbilia miungu mingine. Sitazimimina sadaka zao za damu au kutaja […]

Zaburi 17

Sala Ya Mtu Asiye Na Hatia (Sala Ya Daudi) 1 Sikia, EeBwana, kusihi kwangu kwa haki, sikiliza kilio changu. Tega sikio kwa ombi langu, halitoki kwenye midomo ya udanganyifu. 2 Hukumu yangu na itoke kwako, macho yako na yaone yale yaliyo haki. 3 Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku, ingawa umenijaribu, hutaona cho chote, […]

Zaburi 18

Wimbo Wa Daudi Wa Ushindi (Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi Mtumishi Wa Mungu Aliyomwimbia Mungu Wakati Mungu Alipomwokoa Mkononi Mwa Sauli Na Adui Wengine) 1 Nakupenda wewe, EeBwana, nguvu yangu. 2 Bwanani mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, […]

Zaburi 19

Utukufu Wa Mungu Katika Uumbaji (Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) 1 Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu, anga zahubiri kazi ya mikono yake. 2 Siku baada ya siku zinatoa habari, usiku baada ya usiku zinatangaza maarifa. 3 Hakuna msemo wala lugha, ambapo sauti zao hazisikiki. 4 Sauti yao imeenea duniani pote, maneno yao yameenea mpaka miisho […]

Zaburi 20

Maombi Kwa Ajili Ya Ushindi (Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) 1 Bwanana akujibu unapokuwa katika dhiki, jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. 2 Na akutumie msaada kutoka patakatifu na akupatie msaada kutoka Sayuni. 3 Na azikumbuke dhabihu zako zote na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 4 Na akujalie haja ya moyo wako […]